Habari, nahitaji kupanga matokeo ya wanafunzi kwa kuzipanga sheets yaani sheet ya kwanza iwe na alama , sheet ya pili iwe na matokeo, sheet ya tatu iwe na grade!! Yaani sheet zifanye kazi kwa pamoja ! Ukiweka data sheet ya kwanza ,sheets zinazofuata zichakate data!! Msaada wa formula gani nitumie kuziunganisha hizi sheets.