Msaada wadau, course ipi ya aviation nzuri kati ya hizi?

Msaada wadau, course ipi ya aviation nzuri kati ya hizi?

ngoshaaa

Member
Joined
May 18, 2017
Posts
88
Reaction score
36
Jamani nipo njia panda naombeni msaada course ipi nzuri kusoma kwa kipindi hiki na kijacho kati ya flight operator/dispatch na airport operation/ground operation najua wapo waliopitia huko nahitaji mawazo yenu juu ya upatikanaji wake wa ajira na mshahara wake...
Ahsante
 
Back
Top Bottom