Sazira kwetu
Senior Member
- Aug 23, 2015
- 155
- 104
mfungulie jumbo account
Kwa umri huo, zawadi kubwa kwa mwanao ni kumpenda kwa dhati na kumlinda dhida ya maradhi.
Hayo mengine unayo tamani kuyasikia ni maonyeshio tu
Mnunulie vifuatavyo 1.picha nzuri(painting) ya asili ya kiafrika hata hikiwa haieleweki machoni pako kwake ita spur imagination 2.Jigsaw puzzle ya ramani ya dunia 3.Muandalie video biography yake mrekodi kila mara hatokuwa na hizo kumbukumbu after 5 years akija kuziona ukubwani atakuwa super thankful 4.Camera 5.A puppy
Source: I'm a Psycho.expert