Bouja
Senior Member
- Mar 19, 2019
- 173
- 127
habari zenu wakuu nadhan mmesikia taarifa juu ya ujazaji upya Wa 4m za selform kwa wanafunzi Wa kidato cha nne kulingana na matokeo yako mm katika komb ya pcm nna
phy-c
chem-B
b/math-B
add/math-C hii additional math n somo LA ziada tu naomba kujua shule nzuri kwa comb ya pcm
phy-c
chem-B
b/math-B
add/math-C hii additional math n somo LA ziada tu naomba kujua shule nzuri kwa comb ya pcm