WanaJF habarini za wikiendi,
Ninaomba msaada wa kupata software ya windows 7,computer yangu imeliwa baadhi ya mafile ya OS nahitaji ku install upya au kama kuna alternative naweza kufanya naomba msaada wenu,pamoja na microsoft office 2010 nidownload
msaada pls
Na hii IDM ndio nini wadau naomba kujuzwa?View attachment 60851
kama ni ya 32-bit/x86 kamata hapa jamiiforums.com - shrink your URLs and get paid!
na ya 64-bit/x64 twende huku http://jamiiforums.com/4BFed
N.B ukishafungua link unayotaka check upande wa juu kulia unaona counting number so subiri hadi imalize then click hapo palipoandikwa skip AD itaanza kudownload Directly(IDM muhimu uwe nayo)
Wakati mwingine google inaweza kukujibu badala ya kusubiri watu wafunguke jf, uki-type tu idm utaambiwa ni internet download manager na hata download link utapata zaidi ya hapo nenda jf store pia utaipata.Na hii IDM ndio nini wadau naomba kujuzwa?
Thank you a lot abulzahra, naomba kujuzwa pia kuna tofaauti gani kati ya windows 7 ultimate na professional? mimi nilikuwa natumia windows 7 ultimate na hapa umenipa professional je haitakuwa na madhara yeyote niki install hii profession? nilikuwa naomba pia msaada wa kuipata microsoft 2010 pls wadau! Thanx JF
Big up sana Great thinker abulzahra, ngoja nifanye hiyo kazi usiku huu, nitakuja na feedback mkuu, thanxTofauti baina ya hizo win7 ni ndogo sana so Ww download A'fu uburn dvd kwa Iso burner ikiwa tayari install hiyo windows kwanza then rudi tena tutakupa mbinu ya kuupgrade kuwa ultimate.
Kuhsu office 2010 kamata hapa Microsoft Office Professional 2010 SP 1 (x86
Serial keys Hapa key office 2010.txt | PutLocker
Activation hapa Office 2010 Toolkit and EZ-Activator 2.2.3
naomba kudownload office 2003[/Q
Kamata hii:- http://jumbofiles.com/ksr8xm09lcjm au
download torrent :- http://torrents.thepiratebay.org/4982331/Microsoft_office_2003.4982331.TPB.torrent
nimedownload IDM na kuinstall lakini imefika mwisho inataka niingize serial number, nitazipata wapi jamani?
nafahamu site ya kudownload IDM na haikuombi serial keys.Mkuu abulzahra, nimeingiza hiyzo key inaniambia incorrect serial number, yani tangu jana sijafanikiwa kupata hiyo IDM ili nianze kupakua hiyo window, msaada wa IDM pls
Tofauti baina ya hizo win7 ni ndogo sana so Ww download A'fu uburn dvd kwa Iso burner ikiwa tayari install hiyo windows kwanza then rudi tena tutakupa mbinu ya kuupgrade kuwa ultimate.
Kuhsu office 2010 kamata hapa Microsoft Office Professional 2010 SP 1 (x86
Serial keys Hapa key office 2010.txt | PutLocker
Activation hapa Office 2010 Toolkit and EZ-Activator 2.2.3
nafahamu site ya kudownload IDM na haikuombi serial keys.
Nenda google, type internet download manager free download. Chukua option ya 3. Nenda download from softonic. Then itapakua, ni kama 386mb. Lakini iyo ni shortcut. Nenda kwenye my computer>downloads. Alafu i-double click ile shortcut. Sema accept then anza kudownload. Ina 6MB kama sijakosea
Mkuu abulzahra, nimeingiza hiyzo key inaniambia incorrect serial number, yani tangu jana sijafanikiwa kupata hiyo IDM ili nianze kupakua hiyo window, msaada wa IDM pls
thanx a lot mkuu abulzahra, nimefanikiwa kuinstall IDM ingawa sikuweza kudownload windows 7 but niliipata somewhere ila sasa naishusha office 2010,ubarikiwe sanasorry hizo key ni za windows 7. awali sikukuelewa coz una maombi dabo dabo mkuu so kama hujapata key za idm pitia hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/283151-msaada-wa-serial-number-za-idm.html then fuatilia maelekezo niliyoweka kwenye post no 16 ni msaada tosha kwako