Msaada wa wimbo wa Tazama ramani na Tanzania nakupenda kwa moyo wote

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,565
11,806
Jamani kwa mwenye hizi nyimbo mbili za taifa letu pendwa Tanzania naomba aniwekee.

-Ya kwanza ni hii, Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote.

-Ya pili ni hii, Tazama Ramani
Msaada wenu wakuu!
 
Tazama ramani
utaona nchi nzuri
yenye mito na mabonde mengi ya nafakaaaa
nasema kwa kinywa tena na kwa kusitiri
nchi hiyo mashuhuri huitwa TANZANIAA...

Majira yetu hayaa
yangekuwaje sasa
utumwa wa nchi nyerere ameukomesha
 
Tazama ramani
utaona nchi nzuri
yenye mito na mabonde mengi ya nafakaaaa
nasema kwa kinywa tena na kwa kusitiri
nchi hiyo mashuhuri huitwa TANZANIAA...

Majira yetu hayaa
yangekuwaje sasa
utumwa wa nchi nyerere ameukomesha
huohuo mkuu, hauna link niudownload
 
jamani kwa mwenye hizi nyimbo mbili za taifa letu pendwa Tanzania naomba aniwekee.
-ya kwanza ni hii, Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote.
-ya pili ni hii, Tazama Ramani
Msaada wenu wakuu!
Embu imba huo wa kwanza wote alafu nitakuwekea maneno yake hapa
 
jamani kwa mwenye hizi nyimbo mbili za taifa letu pendwa Tanzania naomba aniwekee.
-ya kwanza ni hii, Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote.
-ya pili ni hii, Tazama Ramani
Msaada wenu wakuu!

Yaelekea zimekukumbusha kitu mJamii!!
 
Kama wewe kweli mtanzania imba wimbo wa taifa!

Haya haya haya hayaweee
 
Hii Nyimbo ilikuwa inapendwa sana na Baba wa Taifa,Kwenye Maadhimisho ya Miaka 75 ilipigwa pale Msasani aisee Mwl alionekana kabisa kuwa na furaha isiyo mithilika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom