Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mkuu naomba kuuliza, kazi uliacha mwenyewe au mkataba uliishaJe ikifika miezi sita ukawa bado hujapata ajira je watakulipa zilizobaki zote kwa mkupuo au ndo wanaishia hapo? Tafadhsli mwenye kuelewa aelezee kwa undani zsid kwan inavoonekana kitu hii watu wengi hatuna uelewa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app