Msaada wa wataalamu wa NSSF mafao

Msaada wa wataalamu wa NSSF mafao

akatanyukuile

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
314
Reaction score
308
Habari za jion hii wana jamvi,

Bila kupoteza mda mimi nilikua na kasalio kangu NSSF. hivo nimekahangaikia takriban mwaka sasa mwishon mwa mwaka jana yaan mwezi wa kumi na mbili nilienda tena kufuatilia ndipo wakaniandikia yakua tarehe 13 mwez wa pili wataniingizia pesa yangu. Kiasi chote nilichokua ninadai ni milion tano na point lakin lakushangaza leo nikaona pesa inaingia kias cha laki moja na sabini na uchafu.

Sasa ninataka kujua niutaratibu upi wanautumia kulipa mafao hayo? Maana nilidhani milion zote tano zitaingia kwa mkupuo. Tafadhali mwenye kujua ninaomba msaada. Ninadhan wafanyakaz na wajuz wa hayo Asante na mungu awabariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nje ya mada: naomba kujua hapo chini maana ya hivyo vikokotoo kutoka PSSSF. Nitashukuru sana, JF kisima cha maarifa!
Formula:
Commuted Pension Gratuity (CPG) = APE x PS x PF x CF x 0.25

Monthly old-age-pension = APE x PS x PF x 0.75 x 1/12
 
Hakuna mafao yatakayolipwa hadi awamu ya 5 iondoke , tena bora wewe umeambulia laki na sabini , kuna wenzako hadi wamekata roho hawajaambulia chochote
 
Kila kitu sikuhizi ni sheria , mm nimepoteza ajira na nalipwa kila mwezi na NSSF ikifika tarehe 26 nalipwa.. sheria ipo wazi.. Kama ww ulipoteza ajira au mkataba uliisha kama ni Kibarua huna Professional unaluowa lumpusm yako fresh tu.. kama una Professional unalipwa 33.3% ya mshahara wako wa mwisho kila mwezi kwa miezi 6. Ukipata ajira in between unakatisha malipo unaendelea kuchangia.. mkwanja wote unaukuta at 55. Tusome sheria tuache kulalalama
Habari za jion hii wana jamvi,

Bila kupoteza mda mimi nilikua na kasalio kangu NSSF. hivo nimekahangaikia takriban mwaka sasa mwishon mwa mwaka jana yaan mwezi wa kumi na mbili nilienda tena kufuatilia ndipo wakaniandikia yakua tarehe 13 mwez wa pili wataniingizia pesa yangu. Kiasi chote nilichokua ninadai ni milion tano na point lakin lakushangaza leo nikaona pesa inaingia kias cha laki moja na sabini na uchafu.

Sasa ninataka kujua niutaratibu upi wanautumia kulipa mafao hayo? Maana nilidhani milion zote tano zitaingia kwa mkupuo. Tafadhali mwenye kujua ninaomba msaada. Ninadhan wafanyakaz na wajuz wa hayo Asante na mungu awabariki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napenda pia kuuliza, mfano nimetimiza miaka 55 na nimestaafu kwa hiari kwa mujibu wa sheria, nimechangia michangu yangu nssf kwa miaka mitano tu maana huko nyuma nilishawa kuchukua mafao yangu kabla ya sheria haijabadilika, je nitalipwa michangu yangu yote ? kwani sikidhi vigezo vya kulipwa pension kila mwezi
 
Je ikifika miezi sita ukawa bado hujapata ajira je watakulipa zilizobaki zote kwa mkupuo au ndo wanaishia hapo? Tafadhsli mwenye kuelewa aelezee kwa undani zsid kwan inavoonekana kitu hii watu wengi hatuna uelewa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nje ya mada: naomba kujua hapo chini maana ya hivyo vikokotoo kutoka PSSSF. Nitashukuru sana, JF kisima cha maarifa!
Formula:
Commuted Pension Gratuity (CPG) = APE x PS x PF x CF x 0.25

Monthly old-age-pension = APE x PS x PF x 0.75 x 1/12
Naomba nikokotolee nimeweka M 29 Kwa miaka 25. Mshahara wa mwisho 980000 je nitapata bei gan ya lampsum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna watu wapuuzi kama NSSF,unapotaka kuchukua mafao yako hutakiwi kuwaambia kuwa una elimu au taaluma fulani,we waambie huna elimu yoyote ndio unategemea hiyo hela ukafungue biashara,Ukichemka kujieleza utalipwa hivo vilaki.
Je ikifika miezi sita ukawa bado hujapata ajira je watakulipa zilizobaki zote kwa mkupuo au ndo wanaishia hapo? Tafadhsli mwenye kuelewa aelezee kwa undani zsid kwan inavoonekana kitu hii watu wengi hatuna uelewa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi hapo amelalama au ameuliza? Mbona mnakuwa wajuaji hivi...

Back
Top Bottom