Achana na hizo mambo boss, mm 2022 nilipigwa laki 7 kwa coin ya Shiba Inu. Ss 2025 nimepigwa mil 1.2 na coin ya Pai π. Hayo madude hayana maana tupambane tuache tamaa za kutafuta mafanikio ya haraka

Hivyo vitu havina maarifa yoyote boss ni kubahatisha tu, wahuni wanazi hype inaonekana kama coin yenye Malengo watu wanaingia mkenge wanawekeza then wanachomoa coins zao tayari inadrop kwahiyo atakae muwahi mwezie ndio anaondoka na faida

Okay asante kwa majibu yako nashukuru Sana. Mimi sifuati kununua coins kaka. Kuna kitu tofauti nakitafuta huko ambacho tofauti na kuhold coins. So kama Una vitabu nipatie