Msaada wa vitabu/ Tutorials and Videos kwa kujifunza "Computer and Network Hacking"

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,587
Napenda kujifunza mambo hayo kama tittle inavyojieleza. nina msingi mzuri wa computer networks hasa routing and switching. Lengo langu ni kwenda zaidi ya hapo. Msaada wadau sehemu ya kuanzia.
 
Napenda kujifunza mambo hayo kama tittle inavyojieleza. nina msingi mzuri wa computer networks hasa routing and switching. Lengo langu ni kwenda zaidi ya hapo. Msaada wadau sehemu ya kuanzia.
PITIA HATA YOU TUBE VIDIO ZIKO NYINGI TU
 
Like serious?, dude that is a major step. Mi nakushauri utulie chini then panga kozi iliyo na uelekeo.
 
Back
Top Bottom