Msaada wa vitabu ndugu zangu

chief72

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
627
Reaction score
309
Wana JF, naomba msaada wa mashirika au kampuni ambazo naweza pata msaada wa vitabu kwa ajili ya shule... Any company ambayo nitawaandikia na wanaweza nisaidia ndani au nje ya nchi.. Sinto omba pesa bali vitabu... Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…