Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 252
- 166
Mtanzania ahitaji visa hapo S.A
Wakubwa kimya kweli Mabaharia wote humu.Kweli lakini mimi ninaitaji hiyo visa unayosemea siyo visa ni port entery
Nilijaribu kuwapigia simu waliniambia hawausiki na visa za SA sasa sijui kwa uzoefu wako mkuu kuwa uwakika wa kunisadia upo pale ubalozini ni vioja.Nenda ubalozi wa Tz hapo utasaidiwa fasta
Acha kuzurura rudi kwenuKweli lakini mimi ninaitaji hiyo visa unayosemea siyo visa ni port entery
Visa ya SA uipate ubalozi wa Tanzania? Hiki kioja cha mwaka...Nilijaribu kuwapigia simu waliniambia hawausiki na visa za SA sasa sijui kwa uzoefu wako mkuu kuwa uwakika wa kunisadia upo pale ubalozini ni vioja.
Una ishi kwa miezi mitatu baada ya hapo lazima upate iyo kitu...Visa SA ya nn mkuu..wats tunahitaji passport tu kuishi huko
Ana hitaji mkuu...Mtanzania ahitaji visa hapo S.A
Acha kuzurura rudi kwenu
Kweli mkuu ndo ninayoitaji. Baada ya port entery visa nataka Real visa i mean temporary residents visaUna ishi kwa miezi mitatu baada ya hapo lazima upate iyo kitu...
Kweli mkuu ndo ninayoitaji. Baada ya port entery visa nataka Real visa i mean temporary residents visa
Hii tovuti ya wizara ya mambo ya ndani itakusaidia.Nadhani unaongelea residence permit itakayokuruhusu kuishi na kufanya kazi kwa muda wote.
Idara ya uhamiaji ya SA ndiyo wanatoa hiyo kitu ukiwa huko. Jaribu kutafuta tovuti rasmi yao utapata maelezo kamili.
Ikiwa unahitaji kukaa kwa muda usiozidi miezi mitatau yaani kutembea tu bila kufanya kazi mtanzania huhitaji visa.
Ikiwa ndiyo hivyo huhitaji kufanya kazi lakini unataka kukaa muda zaidi ya miezi mitatu basi siku mbili kabla miezi mitatu haijaisha vuka mpaka nchi jirani kisha rejea. Waweza fanya mara nyingi kila miezi mitatu inapokaribia kuisha.
Wakubwa nawaelewa lakini serikali ya Africa kusini siyo kama ya dhamani imebadilika sana hapa juzi kati ilibidi UNHCF waingilie kati kuhusu kuwapa vibali wakimbizi huku wageni hawatakiwi ndo maana juzi kati wakimbizi walikwenda kulala kwenye ofisi za UNHCF ili wasaidiwe. Naninavyo zungumza mpaka sasa bado baadhi yao hawaja pewa asylum seeker. Kwa hiyo hata upande wa Visa wamebana sana hayo yote nimekwisha fwatilia lakini hakuna msaada ndo maana nimekuja humu jamvini kuomba msaada.Hii tovuti ya wizara ya mambo ya ndani itakusaidia.
Soma vizuri kwenye temporary na permanent residence permit.
Department of Home Affairs - IMMIGRATION
The DHA is custodian, protector and verifier of the identity and status of citizens and other persons resident in South Africa. This makes it possible for people to realize their rights and access benefits and opportunities in both the public and private domains. By expanding these services to...www.dha.gov.za