Habarini wadau, mimi ni mtanzania niko Mtwara, nahitaji kwenda Angola-naomba msaada wa kujua ulipo ubalozi wa Angola, usafiri wa kufika huko pamoja na mambo mengine yanayofanana na hayo toka KWA WALE AMBAO WALISHAWAHI KWENDA HUKO.
Samahani kwa ambao hawajaenda ila kama wana ushauri mzuri, nawakaribisha.
Mkuu @BUCHANAGANDE, Angola hatuombani visa, wewe chukua passport yako anza safari. Ingekuwa zamani, ungehitaji transt visa ya South Africa. Mimi niko Walvis Bay, Namibia.