Msaada wa VISA kwenda Angola

Msaada wa VISA kwenda Angola

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
482
Habarini wadau, mimi ni mtanzania niko Mtwara, nahitaji kwenda Angola-naomba msaada wa kujua ulipo ubalozi wa Angola, usafiri wa kufika huko pamoja na mambo mengine yanayofanana na hayo toka KWA WALE AMBAO WALISHAWAHI KWENDA HUKO.

Samahani kwa ambao hawajaenda ila kama wana ushauri mzuri, nawakaribisha.

Ahsanteni na samahani kwa usumbufu.
 
Mkuu @BUCHANAGANDE, Angola hatuombani visa, wewe chukua passport yako anza safari. Ingekuwa zamani, ungehitaji transt visa ya South Africa. Mimi niko Walvis Bay, Namibia.
 
Ahsanteni sana wandugu kwa msaada wenu. Naomba mnisaidie pia about means of transport from Tanzania.
 
Panda taqwa kutoka dar hadi lusaka halafu hapo lusaka kuna mabasi yanaelekea angola.
 
Mkuu @BUCHANAGANDE, Angola hatuombani visa, wewe chukua passport yako anza safari. Ingekuwa zamani, ungehitaji transt visa ya South Africa. Mimi niko Walvis Bay, Namibia.

Mbona hii nchi haimo katika list ya nchi ambazo watanzania wanapita free bila visa??
 
Back
Top Bottom