Msaada wa vifaa vya michezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa vifaa vya michezo

Discussion in 'JF Doctor' started by mashambani kwao, Mar 29, 2012.

 1. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nilianza mazoezi ya viungo mwaka jana mwezi wa sita nahitaji mahali yaani eneo ambalo wanauza vifaa kama vya kuongeza nguvu,nikiwa na maana ya VYUMA VIZITO.Mimi nipo bagamoyo,naomba kuelekezwa tu, kwaresma njema wakuu.
   
Loading...