Msaada wa video extension

Msaada wa video extension

cicatrix

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Salam zenu

Ebhana nime download na ku install (media player codec for mkv) nikiwa na niya ya kuweza ku play videos zenye extension ya mkv lakin xaxa naona mambo yamezd ku vurugika. yaan ata zile videos zilizokua zinaonesha vzur japo kua sio mkv, xaxa nazo zna kwama kwama.
ombi langu ni kuelekezwa jinsi ya kuweza kuitoa io codec ambayo nimesha install maana ata kule control panel haipo. Nataka niitoe ili video zangu zweze kuonesha vzuri.
Pili ushauri juu ya program nzuri ilio na uwezo wa kucheza videos zenye extension .mkv

Na pia web browser naona zina load tu ila hazifungui pages.
Hata torrentz hai-download.

Shukran
 
Tumia VLC video player ndo kiboko ya kuplay video format aina zote. ku-uninstall hyo inayokusumbua hata kama huioni kwenye control panel itabidi ujaribu kuangalia time ulioweka pia unahisi haikuhusu kwny matumz yako
 
yan kwenye control panel hamna kitu.
pia muda wote nimekua natumia vlc.
 
yan kwenye control panel hamna kitu.
pia muda wote nimekua natumia vlc.

Kama haionekani kwenye control panel jaribu kutumia software inaitwa REVO UNINSTALLER PRO utaipata torrent.
 
Tafuta program inayoitwa portplayer ndo suluhisho la media extension zote.

Ukiipata iinstall ulikiwa online itadownload codec zake special.
 
Back
Top Bottom