Niliambiwa chuo hiki hakitambuliwi japo kipo Quality Plaza - Dar es Salaam.Nisaidieni wana JF.
Kuna hiki chuo kinaitwa KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY (KIU),ambacho kina branches huku Bongo. Japo nimeingia kwenye website yao nikatazama, bado sijajiridhisha ya kutosha kama kiko accredited.Nilikuwa nataka kufanya distance learning nao. Kama kuna mtu anafahamu zaidi kukihusu, au kama kuna waliosoma au wanaosoma hapo, hasa distance learning, naomba ushauri.
Mnozya.... hivi umeshaona wapi chuo kinachomsajili mwanafunzi aliyepata S F F kwenye combination ya PCB?
Nna mfano ulio hai
AMANI, suala la ufisadi lipo, hata ukienda UDSM, UTAKUTA WAPO WALIOINGIA KWA DIVISION MBOVU KABISA .................. Corruption, corruption ipo.
Pia huwezi jua labda alifanya marticulation exams kwa kutumia cheti cha F.IV?
Pia haiyamkini alianza kusoma diploma akaunga na digrii?
Labda ungefafanua scenerio nzima. Lakini kama nilivyosema corruption ipo.
Mnozya.... hivi umeshaona wapi chuo kinachomsajili mwanafunzi aliyepata S F F kwenye combination ya PCB?
Nna mfano ulio hai