Habari wana JF
Mwanangu ni mdogo wa kiume ana umri wa miaka miwili na miezi mitatu. Lakin kila uume wake ukisimama analamika anesema anaumia na kuuvuta huku akitaka mama yake amkune. Nimempelela hospital akapewa dawa imekuwa kama kazidishwa sasa sijui tatizo ni nin. Msaada plz katika hili
Mpeleke hospitali haraka kwa ajili ya vipimo, huwenda akawa na UTINdio ashatahiriwa mkuu
Hapana sijaenda kote nimeanzia zahanati ndo nataka kwenda hatua inayofuataWatu wengi huwa hawatilii maanani tiba,akiumwa ataenda zahanati,akitoka hapo bila kupata unafuu anakwambia hospitali nineenda bila mafanikio.naomba mtoa mada utambue,kuna zahanati,kituo Cha afya, hospitali za wilaya,hospital za rufaa ,hospital za Kanda na mwisho Ni hospital ya taifa ,ambapo kwa Tanzania Ni mhimbili,je umefika kote huko? Ndo uje useme hapa kuwa umeshaenda hospital zote?
Sasa umekuja humu kulalamika ili iweje? Fuatilia matibabu hatua kwa hatuaHapana sijaenda kote nimeanzia zahanati ndo nataka kwenda hatua inayofuata
QuestionHabari wana JF
Mwanangu ni mdogo wa kiume ana umri wa miaka miwili na miezi mitatu. Lakin kila uume wake ukisimama analamika anesema anaumia na kuuvuta huku akitaka mama yake amkune. Nimempelela hospital akapewa dawa imekuwa kama kazidishwa sasa sijui tatizo ni nin. Msaada plz katika hili
Thanks very muchQuestion
Ana any rashes kwenye penis?
Ana any visible veins prominent kwenye penis akipata erection?
Anaweza kuwa na
Low Flow Priapism
Dorsal Penile vein thrombosis
Nenda hospital wapime
CBC
Sickling test
Urinalysis
Penile Color Doppler Ultrasound