Msaada wa ushauri wanajamvi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
20,234
47,000
Mzuka!

Nimatumain yangu mmeanza siku vizuri. Mimi ndio najiandaaandaa kutinga bongo likizo wakati wowote.

Nimenunua drone amazon Sasa nikifika bongo nataka kuirusha maeneo ya makumbusho kijitonyama na Victoria Kwa tafiti zangu binafs kwasabab nitaish karibu na maeneo hayo.

Je, Kuna athari yoyote nikifanya hivyo?

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa.
 
nilikuwa najiuliza kwanini leo thread yenye tittle yeye kuhitaji msaada haina reply yoyote ikiwa ina 30 dk tangu imetumwa..

Nimepata jibu baada ya kuisoma..!

Sasa mkuu, naona uingie tu mtandaoni ukazisome hii athari za drone amazon, nadhani itakusaidia maana leo naona watu wapo Val's Day-Mode.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom