Msaada wa ushauri wa usafiri

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Wakuu,nimepewa jukumu la kuwatafutia usafiri kikundi cha "wawekezaji" fulani kama 45 hivi kwenda Mbeya,wanaprefer kwenda kwa basi ili wapate fursa ya kutalii kudogo pia.,kwa wale wazoefu wa route ya Dar-Mbeya naomba mniambie ni basi gani la ukweli naweza kuwakodia hawa watu,ningependelea liwe ni basi linalotumia route hiyo siku zote.
 
mkuu mm nna costa (capacity abiria 30)1 na noah new model 2 na old model 1(kila noah moja ni abiria saba) of course hazitafaa kwa trip ya mbeya lkn kwa town trip hapa dar zinafaa sana najua wakitoka huko huwa pia wanatembelea site mbali mbali tuwasiliane ukiona kuna uwezekano wa kufanya kazi pamoja no yangu ni 0767 888326
 
Back
Top Bottom