Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Mpeleke hospital apate vipimo stahikiWadau poleni kwa mihangaiko
Nikienda moja kwa moja, Nina mdogo wangu wa kiume wa miaka 17 mwanafunzi wa f3 anavidonda sehemu za siri za uume anasema vinapona vina vinarudi tena ubichi vinawasha sana kama fangasi, wakati mwingine njia ya mkojo inatoa uchafu wenye harufu mbaya, Yote haya niliambiwa na shemeji yake mume wangu ambaye nae aliambiwa na rafiki wake mmoja walipokutana maeneo yao, hataki kwenda hospital anajifungia ndani tu, mi nikimuuliza hakunijibu ila anaonekana anadukuduku, wenzake wanamwambia ni ugonjwa wa zinaa kwa kua ana videmu vyake huko magomeni, naombeni ushaur wa dawa za kutumia, pia naombeni mnipe njia nzuri ya kushauriana nae, Mimi ndo namsomesha kwa kua hatuna wazazi tena, kwa wajuzi hasa madokta,
Hiyo direct ni STD's SEXUAL TRANSMITTED DISEASES, mwambie aache ujinga apambane na hali yake, hilo sio tatizo la kulogwa na wala halitaisha bila kupata tiba sahihi hospitalWadau poleni kwa mihangaiko
Nikienda moja kwa moja, Nina mdogo wangu wa kiume wa miaka 17 mwanafunzi wa f3 anavidonda sehemu za siri za uume anasema vinapona vina vinarudi tena ubichi vinawasha sana kama fangasi, wakati mwingine njia ya mkojo inatoa uchafu wenye harufu mbaya, Yote haya niliambiwa na shemeji yake mume wangu ambaye nae aliambiwa na rafiki wake mmoja walipokutana maeneo yao, hataki kwenda hospital anajifungia ndani tu, mi nikimuuliza hakunijibu ila anaonekana anadukuduku, wenzake wanamwambia ni ugonjwa wa zinaa kwa kua ana videmu vyake huko magomeni, naombeni ushaur wa dawa za kutumia, pia naombeni mnipe njia nzuri ya kushauriana nae, Mimi ndo namsomesha kwa kua hatuna wazazi tena, kwa wajuzi hasa madokta,
thanksHiyo direct ni STD's SEXUAL TRANSMITTED DISEASES, mwambie aache ujinga apambane na hali yake, hilo sio tatizo la kulogwa na wala halitaisha bila kupata tiba sahihi hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni me au ke?Wadau poleni kwa mihangaiko