Msaada wa ushauri kuhusu kilimo unahitajika

Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,473
3,658
Habari wana JF,

Natumaini mnaendelea salama,mimi n mwanamke ambaye nimebahatika kuwa na shamba langu Kibaha sasa nilikuwa nataka kulima.

Je kwa mwezi huu wa january naweza lima zao gan? Maji yapo umbali wa mita 100 .

Naombeni ushauri wa zao ambalo halizidi miezi sita, mtaji wa kuwekeza muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom