Msaada wa ushauri katika hili; Blind decision

Dunia Hii, msamehe kwa ajili ya mwanao tu lkn katu usirudiane nae
 
Dont make that mistake ya kuwa karbu naye, Kama ni mtoto atamuona kwa nafas ya baba lakin usjarbu kumkarbisha katika maisha yako tena
 
Kiukweli Mimi na ukristo wangu ningempotezea otherwise nisikie anaumwa ndo ningemsaidia shetani ni shetani tu dunia ni zaidi ya university mwache amalize course yake kiukweli just move on abaki kuwa baba mtoto tu
to be honest i like your comment......let him be in that tuition hell
 
Dont make that mistake ya kuwa karbu naye, Kama ni mtoto atamuona kwa nafas ya baba lakin usjarbu kumkarbisha katika maisha yako tena
ok darling i dont have any feelings for him any longer
 
Nilipo maliza kisoma huu uzi, nikagundua kwamba bado unampenda sana huyo mzazi mwenzio.
Nihilo tu kwa leo
Hata mm nimegundua Hilo jinsi anavyosema binti yetu...mwanetu...mtt wetu wakati wengi wakitendwa hawatumia nafsi ya wingi....huwa ni uumoja tu...kama mtt wangu...binti yangu...mm nammshauri akilongwa aruhusu hy baba awa karibu nao kwisha habari yake yani ndo utarudi nyuma haswa...mtt atatoka shule ya Daimond school mpaka shule ya msingi Kalaroho
 
Ungejiongeza kwa kumakribisha sehemu nyingine tulivu kabisaaa na sio nyumbani... though naelewa labda ulikuwa unataka kuwa maisha mazuri uliyonayo sasa...but kumkaribisha nyumbani maankr bado unahitaji connection kutoka kwao
 
ok darling i dont have any feelings for him any longer
Thats Great Mama, Ulishamove on na maisha yako na uendlee na hilo, Nafas yake kama Baba itabakia ila Otherside of the story uendlee na maisha yako mama.
NB. Nmeona picha ya binti umeipost kama ungeweza ungeitoa tu maana hujamtendea haki na privacy yake.
 
and thats your thoughts by the way asanten kwa ushaur wenu na muda wenu
 
Ungejiongeza kwa kumakribisha sehemu nyingine tulivu kabisaaa na sio nyumbani... though naelewa labda ulikuwa unataka kuwa maisha mazuri uliyonayo sasa...but kumkaribisha nyumbani maankr bado unahitaji connection kutoka kwao
thank you darling.......
 
gat you also on this
 
Kuna kitu huwa watu wanafanya na kukosea. Mpenzi aliyekuacha kwa masimango na dharau tena kwa wakati ambao ulikuwa unamhitaji kabisa halafu unakuja kumrudia. Umesema ni miaka saba tangu akuache. Wewe unaengemea mtoto, lakini yeye kikubwa anataka mrudiane kwa sababu tu mambo yako ni mazuri huku kwa upande wake ikiwa tofauti.

Ushauri wangu
Kupitia huyo mshenga mwambie umemsamehe lakini kurudiana NO. Mambo ya mtoto husiwe hata siku moja ukamruhusu kuja nyumbani kisa kumsalimia mtoto. Itakuwa ni kosa moja kubwa. Nina ushahidi na watu kama watatu wenye kesi kama ya kwako. Wamerudiana kisha mapenzi leo wawili washaachana na moja kila kukicha kesi
 
As am a gentleman,pole sana na HONGERA FOR BEING REAL MOTHER TO YOUR DAUGHTER.

USHAURI:
1.forgive but never forget their name
- Tabia ya MTU huunganika na roho,na hujulikana pale anapofanikiwa(kama alikutendea alikuwa na uwezo wa kukushika mkono LAKINI alikuacha,WEW MSHIKE MKONO LAKINI USIZIDI UWEZO WAKO na kamwe usimsaidie zaid ,na zaid na zaid ili tuuu eti ajisikie vibaya kisaikolojia)
2.Repeatable mistake is staying down mistake
-Kaa chonjo na route za kuja kwako,au kuja kumuona mtoto,au mutoke Outings kuhusu maongez ya mtoto,au kukuelezea drama na fake stories abt lives he faced on,KWASABABU HAYO YATAYUMBISHA MSIMAMO WAKO KIMAISHA FOREVER,nasema tena FOREVER,FOREVER,....

NB:BEFORE RUNNING FROM SOME1,REMEMBER SOME1 SAVED YOU WHILE THE REST MADE EXCUSES.
 
Asante darling.. Nmeshamwambia mshenga wake afanye mpango tuonane then tupange appointment ya kukutana nae kwa kumaliza hii mess
 
Kama mwanaume nakuambia hivi:

Usimfuatilie kabisa.
Usimpe hata shilingi.
Mwanao akikua akitaka kwenda kwa baba yake, mruhusu tu; otherwise msahau kabisa.
Usije ukarudia kujiambia tena kwamba unamsaidia kwa ajili ya mwanao; thats bullshit.
Hamna malipo yoyote duniani. Hivyo kuwa makini na maamuzi.
 
Hilo linategemea na uwezo wako kama utaamua kumsaidia,it's better kumpatia mtaji akaendelea na maisha yake.
(Pesa sijui inanini mpaka inatia watu uchizi)
 
Msaidie tu,mana maisha ni haya haya.
 
Ushauri wangu uko hivi:-

1) Never put temporary people in the permanent place of your life.

2) Never hesitate to remove the wrong people from right place of your life.

3) Be strong and bold in important decisions about your life and family.
The best advice of the day. Big Up Brother...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…