Asante kumbe nipo sahihi ktk maamuzi yanguMwache awe na uhuru kwa mtoto wake,unayemlea. Huenda akawiwa kumsaidia baba yake. Wewe hakuhusu tena achana naye.Msaada akatafute tu mbele coz hata kwenu wahitaji wapo,saidia hao na hutawamaliza.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Asante ndugu yangu... Moyo wangu upo mbali kama mbingu na ardhi... Kweli aishie shingon japo hata hapo naona bado karibu.. Nnampango wa kumpeleka mtoto boarding school so kama anahitaji kumuona ataenda shulenlicha ya kuwa mzazi mwenzio tena mwenye cheo kikubwa na pesa kipindi hicho alishindwa hata thamini damu yake mwenyewe hata kama alikuwa hakupendi ww? kuna la kujifunza hapo, anyways unaonekana una roho ya imani sana dada msaidie tu hata kama alikutenda vibaya kwa mustakabali wa mwanenu, lakini usiruhusu achukue nafasi moyoni mwako tena aishie shingoni tu moyo upunguzie shida maana sisi vigeugeu utampa nafasi leo kesho ashasahau.
Ninakuomba dada yangu weka maslahi ya mtoto wetu mbele. Wengi humu wataandika kwa mitazamo yao kwa kuwa hawana watoto na hawajui athari na maumivu anayopitia mtoto katika issue kama hizi. Watoto huwa wana akili na uerevu kuliko tunavyowachukulia. Mimi binafsi kuna kumbukumbu ninazo vitu vya furaha tulivyokuwa tunafanya familia yetu wakati nikiwa nina umri wa miaka mitano...na sasa hivi ni mtu mzima na nina familia kijana wangu wa kwanza yuko University.Hicho Ndio kitu kinachoniumiza akili.. Huyu mtoto anauliza kuwa MI naitwa (Suzanne Benedict.. Siyo jina halisi) lkn mbona simuon baba huyo Benedict na shulen wenzangu baba zao wanakuja
Kwa mateso yale yote bado unataka kumsamehe na kumsaidia pamoja na kupitia shida zote hizo kweli? nakuonea huruma, ungekuwa dada angu ningekusingia hata kesi ya mauaji ufungwe kwanza ili ukajifunze zaidi na zaidi, one day huyo jamaa yako atakuua kabisa na huwezi jua anakuja kwa nia gani haswa? Mshukuru Mungu wa mbinguni amekupa kazi nzuri kuna watu wana masters wanatafuta hata udereva lakini hawaupati ila wewe dip tu imekutoa, tunza mtoto achana na huyo bwana ako.Najua hukulenga kunitusi uliposema sina akili na yes nlirajiria maneno km haya ila what i need is a better consultation from you guys kuhusu mtoto wetu na sio babake kwan I've the decision kuhusu hilo na pengine ninapo share na ninyi ndugu zangu mnaweza nifungue zaid ya niwazavyo.. Ila to be honest and frank with you darling I'm disappointed with that language you used in this comment do not call me mjinga pls darlingI love no body now even if mbingu zifunguke and tells me to...
Naamini hivyo,usijitese nafsi kuganga jeraha lisilokuhusu wakati unayako kibao.Asante kumbe nipo sahihi ktk maamuzi yangu
Usimlee mtoto malezi ambayo hukuyapanga,huyo mtoto na baba yake waambie watafute pahala pakukutana siyo lazima aje kwako like unaweza kuwa na mahusiano mengine mutually asikuvurugie kisa ni baba mtoto.Btw mtoto si mlemavu.Asante ndugu yangu... Moyo wangu upo mbali kama mbingu na ardhi... Kweli aishie shingon japo hata hapo naona bado karibu.. Nnampango wa kumpeleka mtoto boarding school so kama anahitaji kumuona ataenda shulen
Sawa kaka nmekuelewa... Asante dearKwa mateso yale yote bado unataka kumsamehe na kumsaidia pamoja na kupitia shida zote hizo kweli? nakuonea huruma, ungekuwa dada angu ningekusingia hata kesi ya mauaji ufungwe kwanza ili ukajifunze zaidi na zaidi, one day huyo jamaa yako atakuua kabisa na huwezi jua anakuja kwa nia gani haswa? Mshukuru Mungu wa mbinguni amekupa kazi nzuri kuna watu wana masters wanatafuta hata udereva lakini hawaupati ila wewe dip tu imekutoa, tunza mtoto achana na huyo bwana ako.
Get your point dearNaamini hivyo,usijitese nafsi kuganga jeraha lisilokuhusu wakati unayako kibao.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Okay hilo pia linawezekana japo sina mpango wa mtu yoyote zaid yangu mwenyeweUsimlee mtoto malezi ambayo hukuyapanga,huyo mtoto na baba yake waambie watafute pahala pakukutana siyo lazima aje kwako like unaweza kuwa na mahusiano mengine mutually asikuvurugie kisa ni baba mtoto.Btw mtoto si mlemavu.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Mmh kwamba huna leo haimaanishi hutopata. Nani anataka kibesi cha baba mtoto asiye jua gharama ya mtoto.? Social image pia ni muhimu kama uko single onekana hivyo.Okay hilo pia linawezekana japo sina mpango wa mtu yoyote zaid yangu mwenyewe
Ushauri tulikupa unatosha kama ni mtu wa kuelewa utakuwa umeelewa.Usinifunge please ntakuwa chizi nsipomuona huyu binti
Well notedSawa kaka nmekuelewa... Asante dear
Asante Kipenz nmekuelewa sanaWas was wako ni juu ya mtoto? ar u serious kipenz? hapakukuuma wewe.Mi mpaka Leo simfahamu baba tangu
hapakuuma aisee,kiufupi mtoto ni wa mama...Lea somesha.Usiangaike na baba asiye na upendo na mwanae.Hugo mwache ale kwa urefu wa kamba yake.Amevuna apandacho
Hawezi kuwa kajifunza ila kakwama Asante nmekuelewa dearukimkaribia tu ndio mwanzo wa kuwa nae tena, inaonesha kavutiwa na kazi yako, halafu pia ukimruhusu awe karibu na mtoto na wewe pia utajikuta upo karibu nae, automatically mtaanza mapenzi tena, sasa hapo utizame mwenyewe faida na hasara ya kuwa bila baba mtoto wako, maana ujio wake unaweza kuwa baraka au laana, tafakari vizuri, je, ni kweli ana dhamira ya dhati! na kajifunza kupitia mapito yako na yake!!