Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
nawatakia heri na amani wakuu
naomba msaada wa maelezo kuhusu water pump .
ni kisima chenye urefu wa mita 78 kwenda chini na maji yanatoka hapo mpaka kwenye tenki umbali wa mita 420. mara ya mwisho tulifunga water pump ya hp 3 lakini ilidumu kwa niezi 4 tuu na kabla ya hapo ilitoka ilio dumu kwa miezi 7 lakini pia iliharibika nyingine iliodumu kwa miaka 5 na zote ni hp 3 na umeme inaotumia ni 3 ph. tatizo limekuja ndani ya miezi kumi zimeshaungua 3 na zote garama yake mil 3 kwenda juu. ombi langu kwenu wakuu ni wapi tunaweza kupata water pump zilizo imara? na je hakuna utaalamu wa kuzitengeneza hizi zilizo haribika? na garama yake ni rafiki au ni aheri kununua mpya?
ninawatakia kila lililo jema waheshimiwa.