Msaada wa uhamisho wa ajira ya umma

Msaada wa uhamisho wa ajira ya umma

futureme

Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
5
Reaction score
4
Wadau, naombeni kufahamu kuhusu uhamisho wa watumishi wa UMMA. Nilipata nafasi kazi Chuo kikuu fulani hapa nchini nikaomba kuhamishia ajira yangu chuoni hapo kupitia ESS kutoka idara ya Elimu(mwalimu).

Nilifanya process zote kuanzia chini, tangu tarehe 7/2/2025, kisha ombi langu likapokelewa utumishi na status inasoma (WITHDRAW REQUEST)tangu tarehe 12/2/2025.

JE, NI NINI NIFANYE TENA? Kindly help me.
 
Share screenshot ya hiyo status ukiwa umefuta taarifa zako binafsi.
 
Screenshot_20250521_194237_Chrome.jpg
 
Wadau, naombeni kufahamu kuhusu uhamisho wa watumishi wa UMMA. Nilipata nafasi kazi Chuo kikuu fulani hapa nchini nikaomba kuhamishia ajira yangu chuoni hapo kupitia ESS kutoka idara ya Elimu(mwalimu).

Nilifanya process zote kuanzia chini, tangu tarehe 7/2/2025, kisha ombi langu likapokelewa utumishi na status inasoma (WITHDRAW REQUEST)tangu tarehe 12/2/2025.

JE, NI NINI NIFANYE TENA? Kindly help me.
Ebu jaribu kuwapigia kwenye hiyo namba yao ya huduma kwa wateja 0734986508 naamini utapata majibu sahihi Mkuu
 
Ombi lako linafanyiwa kazi, endelea kusubiri au sitisha ombi (withdraw request).
 
Itakua wana maombi mengi hivyo upo pending
 
Back
Top Bottom