Mie nikijana nina tatizo la mapele kichwani ukiyatumbua yanatoa usaha unfuatiwa na damu, yanapo kauka yanakuwa kama mapunye. Nimetumia dawa nyingi tofauti lakini sioni mafanikio. Nambeni msaada nitumie dawa gani? Kwa mawasiliano zaidi 0765893098
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us