Msaada wa training ya self defence

niunganishe naye sparring nijipime uwezo
Yule hapigani na mtu bila kibali kwanza ni doctor pia yaan kwenye hiohio tai chai wanajifunza na kila mshipa uliopo kwenye mwili yan anajua apige wapi uzime atakuua
 
haaaaa haaaa
 
Mi kwny mambo ya self defense niko vzr sana, maana nina kijimanati cha kizungu hicho.......na tangu nimeanza kukamiliki cjawahi hata kumkongoroa mtu magoti kwa hiyo nina usongo sana wa kukatumia........ndo maana hata mtaani kwetu nikickia kelele ucku wa manane natoka kwa mkwara sana huku najiamini utafikiri nimo ndani ya li kifaru la kivita
 
Bongo kuna devices kwaajili ya self defence kwamfano kuna electric shock combo, kuna zap fist n.k kwa maelezo zaidi ingia facebook search account ya GFIVE
 
Yule hapigani na mtu bila kibali kwanza ni doctor pia yaan kwenye hiohio tai chai wanajifunza na kila mshipa uliopo kwenye mwili yan anajua apige wapi uzime atakuua

binafsi mtu aliyecheza martial arts yoyoye na mwenye mkanda wowote haniambii kitu .....ndio maana vikosi vya ulinzi huwa wanacheza kitu inaitwa kombat, warusi (jeshi) wanamchezo wao unaitwa spetnaz hii michezo ni mahususi kwa street fight yaani unapigana bila kanuni unajihami na adui mwenye kucheza mchezo wowote au awe na silaha yoyote ... tusitishane kabisa na black belt .....za ulingoni si tunapigana street fight adui anakuja na kisu jiwe nondo panga ....na unaruhusiwa kuparua kutoboa macho kung'ata kuchukua silaha al mradi mwisho wa siku uibuke mshindi......roger that?
Yule hapigani na mtu bila kibali kwanza ni doctor pia yaan kwenye hiohio tai chai wanajifunza na kila mshipa uliopo kwenye mwili yan anajua apige wapi uzime atakuua
 
MKuu acha vichekesho, tutapaiwa na castle lager
 
Kwa zile training za special forces za Kirusi(Spetznaz) mmarekani hafiki hata robo kwa wale mabwana..licha ya hayo yote jamaa wamekuwa trained kuenjoy na kutake any pain wanayokutana nayo. Wale jamaa ni pure soja.
 
First self defence trick, A HARD GROIN KICK! Akiinama kwa maumivu mnyanyue sura kwa kumbamiza na pochi/ bag kwa nguvu kama upper cut fulani! Hapo atashika uso wee tumbukiza kisigino cha kiatu chako kwenye goti akiinama nyanyua tena uso na pochi/ bag .....
Hii kombo uifanye fasta ndani ya sek 20!
 
Si ujifunze karate au unataka matunguli
 
Yakizamani hii mkuu ,kunatoleo jipya la 2014 ni noma katika mapigo
 
Nunua bunduki. Siku Hizi kuna technology, hamna muda wa kupangia karate. Mwenyewe hawaji kizembe maana hawajui uko fit kiasi gani.
 
Sidhani kama katika waliopeleka kuhakiki kwa wahakiki kuna aliyepeleka bakora kama hiyo!.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Thubutuuuu, Ken jirani yangu kamnunulia mkewe kama hiyo kwa ajili ya self defence aendapo na kurudi toka sokoni...
 
mkuu self defense ni kuwa na PESA, hapo hata adui yako atakuchekelea na kukushobokea.
 
mkuu self defense ni kuwa na PESA, hapo hata adui yako atakuchekelea na kukushobokea.
Kuwa tajiri kama dangote halafu katiza mitaa ya keko mida ya mchana tu watakuonyesha Kwanini mbuzi ana mkia mfupi.
 
Kuwa tajiri kama dangote halafu katiza mitaa ya keko mida ya mchana tu watakuonyesha Kwanini mbuzi ana mkia mfupi.
hujiulizi kwanini hata Mayweather ana ulinzi wakati yuko fit kwenye ndondi???? Pesa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…