Msaada wa teknolojia

Msaada wa teknolojia

plawala

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
625
Reaction score
61
Habari wana jf
naomba msaada wa namna ya KUREJESHA faili zilizoliwa na virusi kwenye flash disk,natashukuru kwa msaada kama upo maana nimepoteza document muhimu sana
 
hizo file ulisha wahi kuziweka kwenye computer? nafikiri ndo itakuwa rahisi kufanya data recovery
 
Back
Top Bottom