Ndugu wana JF Msaada wa tablet nilinunua kwa MTU ninayo kwa takribani wiki tatu Leo imezima yenyewe na nimejaribu kuichaji haioneshi Dalili hata ya kuwaka. Msaada tafadhali
Ndugu wana jf Masada wa tablet nilinunua kwa MTU ninayo kwa takribani wiki tatu Leo imezima yenyewe na nimejaribu kuichaji aioneshi Dalili hata ya kuwaka Msaada tafadhari