Msaada wa TCU guide book

May 26, 2013
67
14
Samahani kwa aliye na TCU guide book 2016/2017 pdf naomba msaada aitume humu, kama haipo iyo current one basi hata ya miaka iliyopita msaada pia
 
Guide book 2016/17 ilitakiwa iwe imeshatoka ili cas ikifunguliwa mtu ujue utachaguaje kozi na chuo. Wahusika, tcu, wamelala usingizi mzito sana.
 
Anayewawekea vigezo na sifa za kuomba elimu ya juu naye ni tatizo, sasa nani atamsema mwenzie kuwa hana sifa? Sijawahi kuona TCU guidebook hadi mwezi huu, tarehe hizi TCU guidebook kuwa bado haijatoka! Tanzania blabla nyingi. Tusipobadili, maendeleo yataletwa na kizazi cha miaka 3000 ijayo.
 
Vigezo viliekwa na TCU wenyewe na vile ni vigezo minimum,mtu atagusa guide book kama anasifa
Guide book inatoa maelekezo ya cut off points za kila course na capacity
 
Kama sijakuelewa hivi! sidhani kama nimeongelea vigezo, nani wakaweka vigezo. Nilimaanisha TCU nao wana shida kidogo. Wamewaelekeza vijana waanze kuapply leo, lakini mpaka muda huu hakuna TCU guidebook, huoni kama ni tatizo.
 
Anayewawekea vigezo na sifa za kuomba elimu ya juu naye ni tatizo, sasa nani atamsema mwenzie kuwa hana sifa? Sijawahi kuona TCU guidebook hadi mwezi huu, tarehe hizi TCU guidebook kuwa bado haijatoka! Tanzania blabla nyingi. Tusipobadili, maendeleo yataletwa na kizazi cha miaka 3000 ijayo.

Nakubaliana nawewe mkuu, katika hili nao TCU nao hawajafikisha GPA ya 3.5 au cut off points 4 (hawana sifa). Maana haiwezekani hadi sasa guidebook ikawa iko mafichoni.
 
Back
Top Bottom