Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Wakuu kama inavojulikana kuwa jf ni kisima cha maarifa ...leo nakuja na tatizo nahitaji msaada
Ni hivi pc yangu kuanzia Jana inazingua kile kidude cha kuzungushia kassa imean kile kinakua pamoja na zile batan za right click na left click
Nikiwasha PC kitafanya kazi kwa muda then kina stack naomba wajuzi wa hizi vitu mnisaidie
Nawasilisha.