Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

Habari za mwaka
mpya wadau
-Naombeni msaada wenu nina miaka 23 nimekua na tatizo la nguvu zetu kwa
muda mrefu sana. Sijawai kusex mpaka sasa.

-Nikiwa na hamu nikifika kwa demu after foreplay hamu inakata kabisa.

-Si-erect 100% enough kwa penetration.
-Punyeto napiga sometimes then na-cumm tu kama kawaida ( naamini
punyeto sio chanzo kwani tatizo lilianza hata kabla sijajua punyeto)

-pia naamini sio tatizo la kisaikolojia naamini ni tatizo la "kiufundi"
zaidi.

-siamini kama nitafiti kwenye definition ya "hanisi" kwa kua
'nashutuka' japo sio tosha kwa kujamiiana.

Hivyo basi naombeni kwa hali na mali wadau wa jamii hii kubwa kunisaidia
sana kwani naamini miongoni mwetu kuna walishapatwa na tatizo kama
langu ama kwa jamaa zao .

Nahitaji msaada wenu kwani pamoja na mambo mengine naona umri wa kuoa na
kua na familia ushafika ama bado kidogo (inategemea).
Napatikana kwa urahisi sana Dar ama mikoa ya Kaskazini (moshi, arusha,
tanga sio mbaya pia) japo haina shida msaada ni popote pale.

Asante wadau na Mungu awabariki sana.

msaada wa kwanza
1. usitumie dawa
2. acha puli
3. fanyia kazi pychological aspect yako wewe unatatizo la kisaikolojia unatakiwa uanze kukiri hali hiyo
 
Habari za mwaka mpya wadau
-Naombeni msaada wenu nina miaka 23 nimekua na tatizo la nguvu zetu kwa muda mrefu sana. Sijawai kusex mpaka sasa.

-Nikiwa na hamu nikifika kwa demu after foreplay hamu inakata kabisa.

-Si-erect 100% enough kwa penetration.
-Punyeto napiga sometimes then na-cumm tu kama kawaida ( naamini punyeto sio chanzo kwani tatizo lilianza hata kabla sijajua punyeto)

-pia naamini sio tatizo la kisaikolojia naamini ni tatizo la "kiufundi" zaidi.

-siamini kama nitafiti kwenye definition ya "hanisi" kwa kua 'nashutuka' japo sio tosha kwa kujamiiana.

Hivyo basi naombeni kwa hali na mali wadau wa jamii hii kubwa kunisaidia sana kwani naamini miongoni mwetu kuna walishapatwa na tatizo kama langu ama kwa jamaa zao .

Nahitaji msaada wenu kwani pamoja na mambo mengine naona umri wa kuoa na kua na familia ushafika ama bado kidogo (inategemea).
Napatikana kwa urahisi sana Dar ama mikoa ya Kaskazini (moshi, arusha, tanga sio mbaya pia) japo haina shida msaada ni popote pale.

Asante wadau na Mungu awabariki sana.

Habari. Mimi ni mpharmacia. Nakushauri anza kutumia dawa inaitwa erecto 50mg. Itakupa erection na hauta kuangusha kabla kufanya sex.
Hu ugonjwa una sababisha na upunguvu wa damu kupita kwenye mboo.
Hiyo dawa nunua tu konye maduka ya pharmacy.
 
Acha sigara kama unavuta

Acha pombe kali hasa za viroba kama ni mnywaji

Jitayarishe kisaikologia kabla ya mechi

Acha kuangalia picha za ngono kama ni mpenzi wa picha hizo

Fanya mazoezi mepesi kila asubuhi na jioni kama unatumia muda mwingi ofisini au unategemea usafiri wa gari kukufikisha kazini

Acha kutumia muda mwingi katika Luninga au computer

Kuwa na uchaguzi mzuri wa chakula wakati wote siyo kula chips mayai,na vyakula vyenye mafuta mengi au wanga kila siku,pendelea vyakula vya kienyeji au vilivyochemshwa zaidi.

Jaribu haya machache kwanza uone mabadiliko vinginevyo wahi Hospitali kwani umri wako bado mdogo ukiendelea kuuonea haya huo ugonjwa utashindwa kuoa na ukifika miaka 40 unaweza ukawa hanisi kamili.
 
Asante mdau. Je hiyo ni tiba ya moja kwa moja ama ni kwa erection tu?
 
Asante mdau. Mimi si mtumiaji wa pombe wala sigara.
Vyakula nakula sana vyetu hivi vya kiafrika.
Nakua fiti kisaikolojia kabla ya mechi.. na mengineyo
Ndo mana nimehisi kua hili ni tatizo la "kiufundi zaidi"
Asante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom