asante sana ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Asante kwa kujali. Mgonjwa ameshaanza kufany baadhi kama mazoezi, maji, , fibres matunda tunayo mengi.1. Tumia Lactulose syrup (3.4mg/ml bottle) 10 Mls after every 12 hours for 7 days.
2.Bisacodyl tablets 5mg tds (I mean after every 8 hours) for 14 days.
3.Kula ndizi mbivu at least 3 kubwa kwa siku mpaka hali itakapokuwa. Nzuri.
4.Kunywa Maji ya kutosha kila siku.
5. Kunywa Juice ya kutengeneza (Ya embe,ndizi au juice yoyote ya matunda yaliyo na Fibres za kutosha.
6.Fanya mazoezi ya viungo.
7.Kumbuka hayo niliyoyasema kuanzia namba 1 mpaka 6.
Ok mdalasini unga wake au ?
asante tumeanza kumpa machungwa na anatafuna nyma ya ndani. Maji tumemwambia at least 3 litres aday
Karibuasante kwa ushauri, mgonjwa tumbo limefuguka , all is good. Tumejaribu njia yako pia.
Nashukuru kwa mrejesho.ili Hali hiyo isi mtokee Mara kwa Mara anapaswa KUISHI hivitumefanya na yuko fit now, it worked!
1. Naomba maelezo kidgo rafiki, ina maana mgonjwa tumbo likisha fungukua, inabidi aendelee kutumia lactulose for seven day? kama ilivyo hapo No.1?1. Tumia Lactulose syrup (3.4mg/ml bottle) 10 Mls after every 12 hours for 7 days.
2.Bisacodyl tablets 5mg tds (I mean after every 8 hours) for 14 days.
3.Kula ndizi mbivu at least 3 kubwa kwa siku mpaka hali itakapokuwa. Nzuri.
4.Kunywa Maji ya kutosha kila siku.
5. Kunywa Juice ya kutengeneza (Ya embe,ndizi au juice yoyote ya matunda yaliyo na Fibres za kutosha.
6.Fanya mazoezi ya viungo.
7.Kumbuka hayo niliyoyasema kuanzia namba 1 mpaka 6.
Hii ni kweli kwa wale wa mrengo wa kilaji.Anywe wine kila baada ya mlo
Pia ajaribu beer plisner inasaidia sama
kwa swali la kwanza jibu ni ndiyo japo lactulose ni kama suppliments lakini dose na dosage (muda wa matumizi) lazima vizingatiwe ili kuepukana na resitance ya dawa ya mwili kwa dawa husika.1. Naomba maelezo kidgo rafiki, ina maana mgonjwa tumbo likisha fungukua, inabidi aendelee kutumia lactulose for seven day? kama ilivyo hapo No.1?
2. Pili sasa mgonjwa atakuwa anatumia dawa zote mbili ie Bisocodilyl na Lactulose kwa wakati mmoja?
asante
ubarikiwe sanakwa swali la kwanza jibu ni ndiyo japo lactulose ni kama suppliments lakini dose na dosage (muda wa matumizi) lazima vizingatiwe ili kuepukana na resitance ya dawa ya mwili kwa dawa husika.
Swali na pili jibu ni ndiyo, hiyo syrup inaenda kufanya relief ya mapema kuanzia kwe utumbo mdogo mpaka mkubwa kwa njia ya kawaida,na hiyo bisacodyl tablets inaenda kufanya stimulation ya mucus kuzalishwa ili constipation isitokee.