Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,553
Kwenye deki.hio usb umeichomeka kwenye deki au tv
ni mara ya kwanza kuchomeka kwenye deki?Kwenye deki.
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Sio Mara ya kwanza. Zamani nilikuwa natumia tu Kawaida. Ila kwa sasa Ndo inasumbua.ni mara ya kwanza kuchomeka kwenye deki?
jaribu hivi
-ichomoe kwenye deki chomeka kwenye tv kama tv yako ina usb port
-ibakishe kwenye deki chukua remote then tafuta mahala kumeandikwa usb au input kisha chagua usb
sijaelewa maana ya hilo neno hapo kwenye tv lakini pengine inaona kama ina updetiwa hio deki, huwezi kushusha chini ukaclick hilo neno read?Sio Mara ya kwanza. Zamani nilikuwa natumia tu Kawaida. Ila kwa sasa Ndo inasumbua.
=TV haina sehemu ya USB Mpaka nitumie deki.
=Na kuhusu kuweka USB kwenye remote. Naweka lakini Ndo hivyo haifanyi kazi
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Hayo maandishi yanatoka kwenye deki so hapo tatizo so TVsijaelewa maana ya hilo neno hapo kwenye tv lakini pengine inaona kama ina updetiwa hio deki, huwezi kushusha chini ukaclick hilo neno read?
wapi nimesema tatizo ni tv?Hayo maandishi yanatoka kwenye deki so hapo tatizo so TV
Chief sijasema wewe ndo umesema. Angalia kichwa cha Uzi.wapi nimesema tatizo ni tv?
sasa hapo itabidi ufanye trial and errorYaani kishajiandika hivyo. Hilo neno inatoka
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
its ok mkuu,Chief sijasema wewe ndo umesema. Angalia kichwa cha Uzi.
Nakuheshimu saaana katka maswala haya
Kumbe. Inaanza Kama inasoma USB. Halafu ghafla yanakuja hayo maandishi. Kisha yanapotea. Deki haiplay.Hayo maandishi yanatoka kwenye deki so hapo tatizo so TV
Ngoja baadae nikaangalie ni aina gani.sasa hapo itabidi ufanye trial and error
- jaribu flash nyengine ya miziki kwenye hio deki
-flash yako jaribu kuiformat na kueka tena miziki
-flash yako jaribu kuichomeka kwengine
hapo utajua tatizo ni flash au deki.
ila nnavyohisi inawezekana kwenye flash kuna file ambalo linasababisha deki iwe hivyo,
hio deki ni aina gani? mchina?
Hata nikibonyeza haibonyezekiBonyeza iyo smart upgrade
Sijaelewa