msaada wa tangazo la NACTE

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,153
Reaction score
96,207
Ina maana selection tayari? see bold line below. Nikiingia inakataa!

System Closed for Academic Year 2017/2018...
STUDENT'S ADMISSION AND VERIFICATION SYSTEM CLOSED

The Student's Admission Verification for those who expected to join Health and Teacher Government Institutions for Second Round has been completed, You can view results of this selection from Your Personal profile by clicking here, Thank you.
Uhakiki wa Udahili wa awamu ya pili wa Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kwenye vyuo vya Serikali, Afya na Ualimu Umekamilika, Unaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi huu kupitia kwenye kurasa binafsi kwa kubofya hapa, Asante.
 
Ngoja waje
 
Huu ni mwaka 2018/2019 mbona system yako inaonesha mwaka jana
 
Jana si ndio ilikuwa mwisho wa kuapply? Mbona hawajatoa tangazo la selection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…