Habari za siku ya leo? kama heading inavyosema hapo juu. Dada yangu kapewa tablet ya Virgo XL inayorun Android 4.1. Sasa shida inakuja ni kuwa hiyo tab ukiingia playstore ukidownload apps kama vile whatsapp na instagram inasema kuwa app husika ni incompatible na version. sasa nashindwa kuelewa shida iko wapi. naombeni msaada kama itakuwa imo ndani ya uwezo wenu wanajamvi.
natanguliza shukurani