swali lako ni nini sasa hapo?Hili linahitaji watu waliosoma Applied Mathematics, hizi hesabu za kawaida hazifui dafu.
Jaribu hii:
1. Mikono, miguu, macho, masikio, mapumb.u, maboobs, mafigo, etc ni 2.
Please naomba nisaidie vyovyote ulivyoelewanilitaka kusema sio hisabati ila natulia wataalamu waje
Hili linahitaji watu waliosoma Applied Mathematics, hizi hesabu za kawaida hazifui dafu.
Jaribu hii:
1. Mikono, miguu, macho, masikio, mapumb.u, maboobs, mafigo, etc ni 2.
plz nifafanulie zaidi my dear its very important ikiwezekana nipe hata mifano haiTunavosema namba kamili tunamaanisha chanya Na hasi chanya inasimama upande wa faida Na hasi upande wa hasara..so application katka maisha ni kuwa jambo lolote ufanyalo lina pande mbili faida Na hasara..