Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Kwa nini usipeleke hili tangazo jukwaa la matangazo madogo? Tafadhali Invisible saidia hapa.Habari wana jamvi.Jamani nina uza TV ya Solar flat screen, Solar panel watts 100, Betri ya N 100 na Inventor. bado vipo kwenye khali nzuri.nauza kwasababu nimepata umeme.hivyo sivihitaji tena.Ukinunua unapata na taa za solar 10 bure.
wasiliana kwa 0717-706259
Unauza sh ngapi vyote?
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Sijataja bei makusudi.ndo maana nimeweka namba yes sijui ntauza sh ngapi mie nakusikiliza una sh ngapi nakupa wewe mteja ndo utasema usaidiwe uuziwe kwa Tsh ngapi.Mteja mwenye uhitaji tu.Mie natoa offer tu maana najua shida ya giza na ninalichukia giza.
Uko wapi?Njoo uchukue haraka sana.
Njoo uchukue haraka sana.
Tv ya Solar kaka watts 30 tu.ukiweka kwenye umeme wa kawaida haiwaki.