Msaada wa Soko Ninauza Mtama mweupe

Msaada wa Soko Ninauza Mtama mweupe

maslahi

New Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
2
Reaction score
0
WanaJF ninaomba kwa yeyote anayefahamu soko zuri la mtama mweupe(mesaya) anisaidie kwani nina tani 130 nilizovuna mwaka jana.zipo katika hali nzuri ktk godown langu hapa Dodoma.Nitashukuru kwa msaada wako:help:
 
Bei je? ngoja nikutafutie wanunuzi hapa Dar au hata Ulaya halafu nitakujulisha muda wowote?
 
Back
Top Bottom