Msaada wa software inayoweza kudownload websites

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,056
Reaction score
45,848
wakuu habari zenu,
kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata software ambayo naweza kudownload website nzima, ambayo baada ya ku i download website hiyo naweza nika peruzi hata nikiwa sina connection ya internet..
msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia
idumu JF
 
Hii nimeipenda nami nitajifunza! Msaada tafadhali
 
Ok,hiyo software inaitwa WebCopier Pro,nyingine inaitwa HTTrack,zote utazipata ukisearch kwenye google tu.
Adios amigo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…