CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Punpuza matumizi
Punpuza matumizi
It is not a matter of kupunguza matumizi. Hata kama huitumii as long as iko on kufika saa sita majaribu particularly when it is in the 3G or 4G mode, whatever the case
Kama imekaa tu bila kutumiwa alafu ikafika saa 6 charge imeisha basi itakuwa ina shida lakini kwa kuwa inatumika muda mwingi basi hakuna njia nyingine ya ku-improve charging system maana hizi simu zenye makorokoro mengi zinatumia charge sana tofauti na hizi tochi, unapoitumia simu kwa kuongea charge haiendi sana kama unavyoitumia kwa ku-chat au kuperuzi website kwa kuwa muda wote unaandika screen inakuwa inawaka hivyo charge inakwenda, unless kama kuwe na option kwa mchana kupunguza mwanga kwenye screen
Hili ndio jibu, pia tunatumia sana smartphone kama mbadala wa laptop ndio maana unakuta na charge inakwenda mno, smartphone ni pale ambapo upo sehemu ume-relax unapitia pitia kwa dakika moja alafu unaendelea na business
Embu ichunguze vizuri na ku-disable vitu ambavyo havieleweki kwenye screen maana na hizi simu zina features kibao kama zote zinafanya kazi zinakula charge
Inategemea na matumizi ya mtumiaji.
Kama hutumii data na 3G iko off simu inaweza kukaa na charge hata kufikia siku 4.View attachment 173920
Iwapo unatumia data na 3G Iko on wakati huo kuna applications kibao ziko on lazima charge iishe mapemaView attachment 173921
It is not a matter of kupunguza matumizi. Hata kama huitumii as long as iko on kufika saa sita majaribu particularly when it is in the 3G or 4G mode, whatever the case