middle east JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 1,309 Reaction score 1,695 Jul 31, 2018 #1 Habari wakuu, simu yangu haina sehemu ya option ya hotspot wifi....na nimejaribu ku install some apps za hotspot wifi lakin bado inakataaa ku connect......kwa anayefahamu au mwenye idea kuhusu hii issue anipe maujanja .. Thanks
Habari wakuu, simu yangu haina sehemu ya option ya hotspot wifi....na nimejaribu ku install some apps za hotspot wifi lakin bado inakataaa ku connect......kwa anayefahamu au mwenye idea kuhusu hii issue anipe maujanja .. Thanks