Nina Nokia 210 asha nikiingia kwenye internet na kuplay wimbo kwenye youtube inaniandikia
serching for networks halafu check connection setting na hai play, naomba msaada wa ku connect hiyo media player ili ku play hizo nyimbo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.