Msaada wa simu

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
1,103
Reaction score
2,127
Natumia simu ya Samsung (s3) sasa kuna kama jicho huwa linatokea juu ya simu karibu na sehemu inaonyesha betri au signal ya network naomba kufahamishwa nini maana yake.
 
Natumia simu ya Samsung (s3) sasa kuna kama jicho huwa linatokea juu ya simu karibu na sehemu inaonyesha betri au signal ya network naomba kufahamishwa nini maana yake.
Hyo inaitwa smart stay..inamanisha simu yako itaendelea kuwaka display as long as unaingalia ukihamisha macho nayo itajilock
 
Hako tunaita smart stay... ..

"screen stays On as long as ur looking at it.. " ndo kazi yake
 
Hyo inaitwa smart stay..inamanisha simu yako itaendelea kuwaka display as long as unaingalia ukihamisha macho nayo itajilock
Dah asante mkuu na mara nyingi kama usemavyo nikiiangalia nayo ndo hujitokeza asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…