Msaada wa simu yangu ya Samsung Galaxy Grand Prime

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,007
Reaction score
997
Rejea kichwa cha habari..

(Samsung Galaxy Grand Prime)...Simu yangu imeanza tatzo la kuonyesha alama ya EARPHONE juu..ambayo inapelekea mtu nikimpigia siwezi kumsikia mpaka niweke Loudspeaker...

NAJUA HUMU KUNA WATAALAMU...naomba msaada tatzo hili nifanyeje?
 
Jaribu kusafisha hiyo tundu ya headphone..tumia hata stick zile za maskion isafishe vizur kisha angalia kama utafanikiwa
 
yenyewe ndo inaniambia kwamba EARPHONE IS CONNECTED
 
Tafuta earphone. Chomeka kisha ichomoe km hauna nenda kweny maduka yanayouza earphone jifanya km unataka kununua. Chomeka fanya setting kisha itoe. Kisha waambie sijaipenda hiyo earphone (Hii njia km hauna hela ya kununulia earphone km unayo buy it)Tatizo litakuwa limeisha
 
Earphone ninazo....na nishafanya yote....
 
Tafuta earphone. Chomeka kisha ichomoe km hauna nenda kweny maduka yanayouza earphone jifanya km unataka kununua. Chomeka fanya setting kisha itoe. Kisha waambie sijaipenda hiyo earphone (Hii njia km hauna hela ya kununulia earphone km unayo buy it)Tatizo litakuwa limeisha
Kweny setting naenda sehemu ipi
 
Rejea kichwa cha habari..

(Samsung Galaxy Grand Prime)...Simu yangu imeanza tatzo la kuonyesha alama ya EARPHONE juu..ambayo inapelekea mtu nikimpigia siwezi kumsikia mpaka niweke Loudspeaker...

NAJUA HUMU KUNA WATAALAMU...naomba msaada tatzo hili nifanyeje?
Nahita touch ya hii kitu ni shiling ngapi jamani,
 
Back
Top Bottom