mbeyaboyfrancy JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 248 Reaction score 91 Sep 23, 2015 #1 simu yangu imekuwa na desturi ya kuinstall application yenyewe,hata ni kiziunstall baada ya muda zinajiistall tena.application zenyewe ni kama hizi T share,battery doctor,cool browser na nyinginezo.hali hii inatokana na nini
simu yangu imekuwa na desturi ya kuinstall application yenyewe,hata ni kiziunstall baada ya muda zinajiistall tena.application zenyewe ni kama hizi T share,battery doctor,cool browser na nyinginezo.hali hii inatokana na nini
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,900 Reaction score 29,431 Sep 23, 2015 #2 pole sana mkuu. ngoja wataalam waje ila kama utaona inakuzingua sana muone fundi simu akutazamie huenda simu imevamiwa na virusi.
pole sana mkuu. ngoja wataalam waje ila kama utaona inakuzingua sana muone fundi simu akutazamie huenda simu imevamiwa na virusi.
philipItinde Member Joined Jan 29, 2015 Posts 29 Reaction score 9 Sep 24, 2015 #3 nenda kwenye all qpplication nitafutie app hizi(time service nyingine ni monkey test) ukizipata ndani ya simu yako basi nijulishe nikujuze
nenda kwenye all qpplication nitafutie app hizi(time service nyingine ni monkey test) ukizipata ndani ya simu yako basi nijulishe nikujuze