Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,944
- 2,145
Agape sio ya boys tu isitoshe yule mkuu aliyepita anaitwa Shahidi aliharibu mfumo mzuri wa ile shule kabisa
mpeleke agape mkuu hutojuta
mpeleke agape mkuu hutojuta
uongo mtupu............URU seminary ndo inakimbiza kwa Moshi.
Catholic Seminary ; hizi ni shule kubwa na ndogo ambazo lengo lake ni kuwakusanya vijana wanataka ukaa pweke useja na utawa ktk maisha yao , sambamba na hapo pia wanahimizwa sana kuishika elimu dunia na ya kiroho .Kuna tofauti kati ya Seminary(Catholic Seminary)..
na Catholic Managed Schools..
Naona watu wanachanganya kati ya Catholic Schools na Catholic Seminary
Cjajuwa seminary ila hizo 1.7 mlàaMngekuwa mnatuwekea na ada zao ili tuweze kujua,nina dogo yupo la saba mwaka huu
bendel memorialHabari za jioni wanaJF
Naomba msaada wa kufahamu shule nzuri ya sekondari ya boys tu kwa wenyeji wa moshi
Ahsanteni
Bendel ni shule nzuri sana ila siju kitu gani kimeikumba safari hii....imeanguka sana.bendel memorial
Habari za jioni wanaJF
Naomba msaada wa kufahamu shule nzuri ya sekondari ya boys tu kwa wenyeji wa moshi
Ahsanteni
Huyo dogo anajitoa ufahamu tuu manase kamtoa Leo hii anamkana bora umfadhili mbuzi AiseSo we humjui mzee manase sio? Ama unamkana kisa ameshakutoa?
Mkuu mimi nataka kufundisha masomo ya science ntafutie shule basOnesha inapokimbiza
View attachment 469219
kweli kabisa... wameendekeza fimbo sana kuliko masomoBendel ni shule nzuri sana ila siju kitu gani kimeikumba safari hii....imeanguka sana.
Kweli mkuu namjua uyo dogo lakini anajifanya sio yeye.Huyo dogo anajitoa ufahamu tuu manase kamtoa Leo hii anamkana bora umfadhili mbuzi Aise
Mzee manase kakuvuta toka chini mpaka juu kama avatar yako leo hii unamkana??? Bora umfadhili mbuzi utamla nyamaNikupe mambo muhimu yakufanya. Ni kama hujielewi unataka nini
MASOMO GANI BOSS?Mkuu mimi nataka kufundisha masomo ya science ntafutie shule bas
Chemia na biosMASOMO GANI BOSS?
ngoja nicheki mkuu ila its not a promisse kuwa kuna nafasi mahaliChemia na bios