Msaada wa shule nzuri ya sekondari moshi

Msaada wa shule nzuri ya sekondari moshi

Binafsi nzur ni st James uru na amedeus tyu kwa boys
st. james na uru ni seminari.....utaratibu wake wa kujiunga uko tofauti sana....
ST. AMEDEUS is the best Kwa boys mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa.... kama utahitaji namna ya kujiunga nitaweza kukusaidia. Nilifanya kazi pale kwa miaka 2.....namba zangu 0625698411
 
Unaweza ukaenda amedeusi , marangu seki na olaleni sema olaleni asikimbie kupiga jembe , mzembe kusoma bakola za kutosa
0ne wamepata 18
Two zpo 57
Three zipo 37
Hapana four
Hapana ziro
NB mjengo si shule , shule mazingila ya kusoma na usimamizi wa kusoma
Hizo shule nilizotaja ni nzuri sana kwa upande wa kilema na marangu
St.James Seminary pagumu sana kuingia
 
Pia kwa shule za mixture kuna URU secondary.........ni shule inayokuja kwa kasi sana....anyways, kama uko serious kupata shule nzuri Kilimanjaro wasiliana na mimi........nitakusaidia kuingia popote....sihitaji malipo yoyote
 
We si ulipelekwa na mjomba wako Manase ndo mana basi unaona wengine wanapelekwa pale na wajomba zao na sio gov't
Manase ni nani kwanza inaonekana unawaza mababu zako wa kale wewe. Kwani anaetakiwa kwenda pale unafaham anatoka wapi labda
 
Kuna tofauti kati ya Seminary(Catholic Seminary)..
na Catholic Managed Schools..

Naona watu wanachanganya kati ya Catholic Schools na Catholic Seminary
 
Povu la nini tena hadi masikioni ongea hoja wewe mvulana huwezi lazimisha tui kuwa maziwa. Unauhakika wanaosoma hiyo shule wote walichaguliwa na serikali kutoka form four..mara nyingine uache ununda wapo wanaohamia na hawakuchaguliwa na serikali bali wameomba kuhamishiwa hapo. Nafikiri unamwelewa mtoa mada kwa namna moja fikirisha ubongo huo kijana.
Ok manase
 
Kwa Shule nzuri za kilimanjaro ni kama ifuatavyo
SEMINARY SCHOOL
zipo nyingi ila ambazo ni bora ni
Huru Seminary
Mau Seminary
St. James Seminary
Nishule ambazo huwa zinaongoza Sana tanzania kila mwaka yaan Ata ukiangalia kweny top ten zipo kila mwaka
Ila utaratibu wakijiunga upo tofauti na Shule nyingine Kama unahitaji mwanao ajiunge Uko nitafute pm nikupe maelezo zaidi ili uweze kufanikisha ...
Ila zipo Shule kama
St . Amadeus
Olaleni
Kilimanjaro boys
Marangu sec.
Scholastica pia zipo vizur San
Ila St. Amadeus ipo vizur Sana ndo inachuana sana St. James Seminary kwahiyo pia kama unaweza mpeleke St. Amadeus
 
Manase ni nani kwanza inaonekana unawaza mababu zako wa kale wewe. Kwani anaetakiwa kwenda pale unafaham anatoka wapi labda
Unajifanya humjui mjomba wako manase aliyekufanyia mchongo ukaingia pale?
Mana combi yako haikubalance kama sjakosea ulikua na C mbili na D moja.
 
Kwa Shule nzuri za kilimanjaro ni kama ifuatavyo
SEMINARY SCHOOL
zipo nyingi ila ambazo ni bora ni
Huru Seminary
Mau Seminary
St. James Seminary
Nishule ambazo huwa zinaongoza Sana tanzania kila mwaka yaan Ata ukiangalia kweny top ten zipo kila mwaka
Ila utaratibu wakijiunga upo tofauti na Shule nyingine Kama unahitaji mwanao ajiunge Uko nitafute pm nikupe maelezo zaidi ili uweze kufanikisha ...
Ila zipo Shule kama
St . Amadeus
Olaleni
Kilimanjaro boys
Marangu sec.
Scholastica pia zipo vizur San
Ila St. Amadeus ipo vizur Sana ndo inachuana sana St. James Seminary kwahiyo pia kama unaweza mpeleke St. Amadeus
Mngekuwa mnatuwekea na ada zao ili tuweze kujua,nina dogo yupo la saba mwaka huu
 
Back
Top Bottom