Msaada wa shule nzuri ya sekondari moshi

Msaada wa shule nzuri ya sekondari moshi

Boys tu sidhan kama utapata zaidi ya seminary mkubwa.
Mchanganyiko
>>Mlama
>>Nsoo
>>Vunjo
>>Majengo sec
 
boys tu kuna umbwe,old moshi,lyamungo,maua...saa hujasema ni private or government
 
Habari za jioni wanaJF
Naomba msaada wa kufahamu shule nzuri ya sekondari ya boys tu kwa wenyeji wa moshi

Ahsanteni

aisee st amedeus ndo penyewe nimeanza form one adi six pale na ufaulu mzurii saana nasubiria chuo tu,,,mpeleke hapo hutojutia
 
Ingekua A-level ningekwambia umbwe boys ila kama ni o-level mpeleke st.amedius ila kuna masharobaro kibao ila wanapaaafomu
 
Back
Top Bottom